Mkuu nimekuruhusu umwambie niliko@Thad
Haha Thad nakumissKuna popo kaniteka [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kibumbu[emoji85][emoji85][emoji85]Mwanamme anavimbishwa busha, mwanamke sijui anavimbishwa nini??
Dagaa nitazidi kuumwa ulimi unataka ladha ya kukuNa dagaa eti si utakuwa umepona vizuri ukipata
Weee mim dada yake tafadhali wifii acha na mimi nileNaona salary advance imeshaanza kukusumbua baby, naomba uniletee hiyo kadi ya benki maana naona dalili mbaya pesa yote itaishia kwenye chips kuku mwisho wa siku familia inateseka.
Kwani ice kasemajeNa pepsi ya baridiiii kabisaaaa
Kesho ndipo nitakukatia ticket ya kutoka Lyambamigongo hapa Ushirombo kuelekea Kibiti....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu nimekuruhusu umwambie niliko
Nimekumiss zaidi, kuna popo mmoja hivi kanificha, hataki hata nije kuwasabahi ndugu,jamaa na marafiki[emoji6]Haha Thad nakumiss
Alokuteka nani?
Thinywi sodaaMgonjwa hanywi soda simpelekei hiyo
Umeona nafaidi kutekwa sasa unataka nikauawe Kibiti? [emoji134][emoji134][emoji134]Kesho ndipo nitakukatia ticket ya kutoka Lyambamigongo hapa Ushirombo kuelekea Kibiti....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Usiwasikilize wananionea wivuUchumi huumgumu bro atakunywa maji tuu
Chipsi kuku zina mtosha
Aloniteka kanipa dakika 5 nimsalimie Iceman 3D[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Umeshapatikana mkuu?
HahahahaNimekumiss zaidi, kuna popo mmoja hivi kanificha, hataki hata nije kuwasabahi ndugu,jamaa na marafiki[emoji6]
Umeona nafaidi kutekwa sasa unataka nikauawe Kibiti? [emoji134][emoji134][emoji134]
Kula kwa kipimo wifi yangu, hayo mambo ya kutaka chips kuku hali ya kuwa familia yake tunapambana na ugali mbogamboga huo sio uungwana. Pia angalia kipato cha nduguyo angalau ungesema chips mayai kidogo ningekuelewa.Weee mim dada yake tafadhali wifii acha na mimi nile
Kabla ujumbe haujamfikia mlengwa naomba nipate kufaidipo hiyo salary advance[emoji12] [emoji12] [emoji12]Naona salary advance imeshaanza kukusumbua baby, naomba uniletee hiyo kadi ya benki maana naona dalili mbaya pesa yote itaishia kwenye chips kuku mwisho wa siku familia inateseka.
Mpenzi dada angu nisipo mpelekea watampelekea waharibifu wa mjini. Ya familia si igusi myloveNaona salary advance imeshaanza kukusumbua baby, naomba uniletee hiyo kadi ya benki maana naona dalili mbaya pesa yote itaishia kwenye chips kuku mwisho wa siku familia inateseka.