Mwaka huu utaniita majina ya kila aina, hadi hiyo miezi 9 ikafikage....[emoji12] [emoji12]Nimekumiss zaidi, kuna popo mmoja hivi kanificha, hataki hata nije kuwasabahi ndugu,jamaa na marafiki[emoji6]
HahahahaWeee mim dada yake tafadhali wifii acha na mimi nile
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Aloniteka kanipa dakika 5 nimsalimie Iceman 3D
HahahaaBasi endelea tu kukaa hapa kwangu, maana hii hali ulio nayo...[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 780217
Oh! Kwa kupost hii picha yangu ushaniharibia kwenye mitego yangu humu jf[emoji53][emoji53][emoji53]Basi endelea tu kukaa hapa kwangu, maana hii hali ulio nayo...[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] View attachment 780217
Pamoja sana![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Am glad mwambie nashukuru na nimefurahi kukuona
Mi ndugu yake acha nile tu we umekula vingi mi mara moja moja inakuuma,wakati tupo wadogo akipigwa namsaidia ulikuwepoo,nna haki zote mimi acha wivuu NeyKula kwa kipimo wifi yangu, hayo mambo ya kutaka chips kuku hali ya kuwa familia yake tunapambana na ugali mbogamboga huo sio uungwana. Pia angalia kipato cha nduguyo angalau ungesema chips mayai kidogo ningekuelewa.
Ndugu wa mume muwe mnajitahidi kutuinua na sio kutudidimiza.
Missing you too dia,Kabla ujumbe haujamfikia mlengwa naomba nipate kufaidipo hiyo salary advance[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Miss you mamy!
Duuuh ayaDagaa nitazidi kuumwa ulimi unataka ladha ya kuku
Tafadhali, msiziamini hizi taarifa zinalenga kunipotezea riziki humu [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahahaa
Ndio hali ya Thad hiyo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kula kwa kipimo wifi yangu, hayo mambo ya kutaka chips kuku hali ya kuwa familia yake tunapambana na ugali mbogamboga huo sio uungwana. Pia angalia kipato cha nduguyo angalau ungesema chips mayai kidogo ningekuelewa.
Ndugu wa mume muwe mnajitahidi kutuinua na sio kutudidimiza.
Kwani umetutega wangapi humu?Oh! Kwa kupost hii picha yangu ushaniharibia kwenye mitego yangu humu jf[emoji53][emoji53][emoji53]
Mwambie atulie wifi azima utujali ndugu zako sisi ndio wake zako wa mileleMpenzi dada angu nisipo mpelekea watampelekea waharibifu wa mjini. Ya familia si igusi mylove
HahahahahaaTafadhali, msiziamini hizi taarifa zinalenga kunipotezea riziki humu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Ama kweli, nilizoea kuona kupatwa kwa jua na mwezi, sasa leo nimepatwa mimi [emoji12]Mwaka huu utaniita majina ya kila aina, hadi hiyo miezi 9 ikafikage....[emoji12] [emoji12]
Wifi yako huwa anapenda ni manage vzuri pesa ndio maana unaona ana check na kubalance hapa.Mwambie atulie wifi azima utujali ndugu zako sisi ndio wake zako wa milele
[emoji120]Hahahahahaa
Sawa mimi nakuamini wewe
Kwani wewe hutaki shemeji mpenzi wangu?Mpenzi dada angu nisipo mpelekea watampelekea waharibifu wa mjini. Ya familia si igusi mylove