Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
HahahaUnajitahidi kumanage pote we mume mzuri kweli
She z my only one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaUnajitahidi kumanage pote we mume mzuri kweli
Achana na mkeo nisikilize mimi tu hapa ya familia hayamuhusuUsjali mylove leo nlimoa ofa kwakuwa ana umwa tu
Je mimii?only what??Hahaha
She z my only one
Na pia mume wangu hawezi pelekeshwa na ndugu zake, mimi ndiye kila kitu kwake,Mkeo asikupelekesheee tafadhali
Sitaki kupanga foleni mie....Kwa hesabu ya haraka haraka, mko kama 43 hivi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vuta subira soon utamjua.Ngoja nimshinikize aje kunifungulia thread humu kama walivyofanya wenzake mshana jr na Mwifwa, akikataa natoroka kwenye ngome aliyonitekea [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona mipango yenu ya familia mwaipangia sebuleni?
Wasalimieni mumu na Mr Miller
Hayo ndio maneno wa ubavu.Lakini mylove hao wa chipsi na kuku wanakuwa walaghai sana.
Napenda apate mtu sahihi.
Ima nimekuelewa ntakuwa namuachia achia naye
HahahahaSijui nani kamficha, au alikuwa honeymoon teh teh teh
Wifi huna adabuNa pia mume wangu hawezi pelekeshwa na ndugu zake, mimi ndiye kila kitu kwake,
Pia tunautaratibu wa familia yetu.
Mkeo hana adabu ananisimangia mimi chips na wakati naumwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Amemkuta dada hapa ameamua kuzungumza hapa hapa
Only sista [emoji1]Je mimii?only what??
Usjali ntaongea naye dada mambo madogo haya.Mkeo hana adabu ananisimangia mimi chips na wakati naumwa
AhahahahahahahahahaOnly sista [emoji1]
Sawa basi ila isiwe ndio utaratibu utawazoesha vibayaUsjali mylove leo nlimpa ofa kwakuwa ana umwa tu
Ee asiwe anaingilia mambo yetu hadharanjUsjali ntaongea naye dada mambo madogo haya.
Tumekuwa nae huyoo acha atudekezeeSawa basi ila isiwe ndio utaratibu utawazoesha vibaya
Sawa mpenzi, ashakuelewa mengine tutamwambia akija home, i love youSawa basi ila isiwe ndio utaratibu utawazoesha vibaya