Sawa mkuuBaada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf
Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december
Na urais utadumu kwa mwaka na rais akishinda ataruhusiwa kumteua makamu wake wa rais
Lengo na kazi ya rais wa jamiiforum ni kuleta umoja na mshikamano na kuifanya jamiiforums ingare zaidi
Lengo la kuwa pamoja ni kuondoa mizizi ya ukabila, udini, uvyama, ukanda, rangi, na kuwaleta wana jf kuwa kitu kimoja
Long live jamiiforums
Kwani hamna nafasi nyingine mpaka ufanye conquest ktk nafasi yangu?Mshana jr nimejitolea kua campaign manager wako, na ili tushinde inabidi ufike kesho saa 6 mchana Ubungo upasue nazi kisha twende bagamoyo kumalizia shughuli ndogo.......