john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Mshana Jr ushashindaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua makamu wa raisDaaa ina maana hamna ke mgombea,,,,, why? [emoji26] [emoji26]
Http://www.jamiiforums.com/threads/uchaguzi-mkuu-jf-tumchague rais-hapaWeka link tuone mchakato wa mchujo ulivyokuwa...
Then uchaguz uwe huru Na haki ,hatuhitaj mifumo ya Ki CCM hum,
Weken mfumo wa kudhibit kujirudia kwa Kura Na mfumo uwe Ni wa kidigitali yaan unapita unabofya Kura inahesabika Na wote wanaona mchakato mzma,,,
Kaz kwako mkuu..!!
Mchakato wa mchujo ulifanyika lini!?
Vigezo gani vilitumika kuwapata wagombea!!?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Wakijibu na naomba unijuze maana na Mimi nilikuwa na maswali kama haya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hayaAtakua makamu wa rais
Watakuwa viti maalumuMngeweka na KE kama mgombea mwenza
Ujinga mtupuuuuBaada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf
Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december
Na urais utadumu kwa mwaka na rais akishinda ataruhusiwa kumteua makamu wake wa rais
Lengo na kazi ya rais wa jamiiforum ni kuleta umoja na mshikamano na kuifanya jamiiforums ingare zaidi
Lengo la kuwa pamoja ni kuondoa mizizi ya ukabila, udini, uvyama, ukanda, rangi, na kuwaleta wana jf kuwa kitu kimoja
Long live jamiiforums