Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

Jamani mnakumbusha mambo ya Dodoma jinsi watu walivyokula kichwa!,daah JK nyoko aisee..
 
Sasa hapa utafany mende auliwe kwa NYUNDO , au sisimizi auliwe kwa BOMU.

Utafanya mshana atumie zana zake hatari na lethal.
 
Baada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf
Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december
Na urais utadumu kwa mwaka na rais akishinda ataruhusiwa kumteua makamu wake wa rais
Lengo na kazi ya rais wa jamiiforum ni kuleta umoja na mshikamano na kuifanya jamiiforums ingare zaidi
Lengo la kuwa pamoja ni kuondoa mizizi ya ukabila, udini, uvyama, ukanda, rangi, na kuwaleta wana jf kuwa kitu kimoja
Long live jamiiforums
Ujinga mtupuuuu
 
Back
Top Bottom