Mshana jr vs the boss ndo wagombea rasmi wa urais jf

MH ..... Hapo kwa mshana ninawasiwasi napo ...Asije akatumia ndumba
 
The Boss namuona akitangaza kwenye media kujiuzuli kugombea baada ya kuona dalili zote za kutopata kura za kuridhisha kabisa kwenye huu Uchaguzi.

Labda amuimbe kibibi fulani hivi ambaye ni mpinzani mkubwa sana wa mgombea wa Upinzani amsaidie majini ili aweze kumshinda jamaa.

Vinginevyo mhmh!
 
Baada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf
Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december
Na urais utadumu kwa mwaka na rais akishinda ataruhusiwa kumteua makamu wake wa rais
Lengo na kazi ya rais wa jamiiforum ni kuleta umoja na mshikamano na kuifanya jamiiforums ingare zaidi
Lengo la kuwa pamoja ni kuondoa mizizi ya ukabila, udini, uvyama, ukanda, rangi, na kuwaleta wana jf kuwa kitu kimoja
Long live jamiiforums
Hebu leta kazi kwanza za huo urais na umuhimu wa cheo hicho kwetu
 
Mshana jr ataushangaza ulimwengu pale atakapomchagua faiza fox kuwa mgombea mwenza
 
Dah hao wagombea naona wanauzito sawa... ngumu kuamua ingekuwa kwenye siasa wagombea wangekuwa hivi ingependeza sana kwani unajua yeyote atakayeshinda atafanya kazi vyema...
Kwa hawa nahisi nitashindwa kuchagua kura yangu itaharibika kusudi na nina hakika nitapata kiongozi bora
 
Mimi najitoa sipigi kura,yaani mnashindanisha witch!No jamani.
Baada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf
Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december
Na urais utadumu kwa mwaka na rais akishinda ataruhusiwa kumteua makamu wake wa rais
Lengo na kazi ya rais wa jamiiforum ni kuleta umoja na mshikamano na kuifanya jamiiforums ingare zaidi
Lengo la kuwa pamoja ni kuondoa mizizi ya ukabila, udini, uvyama, ukanda, rangi, na kuwaleta wana jf kuwa kitu kimoja
Long live jamiiforums
 
hapa labda umueke the bold na chizi maarifa?
faiza fix na sky esclat
 
Uchaguzi ulitangazwa lini?
Kuchukua fomu lini?
Kurudisha fomu lini?
Kampeni lini?

Hakuna mtu hapa JF wa kushindana na mimi.
 
mkuu Ice man 3D nenda jukwaa la chit chat pale utaona mchujo ulivyokua mkali nenda kwenye post ya uchaguzi mkuu jf
plss piteni pale mkaone
 
The Boss namuona akitangaza kwenye media kujiuzuli kugombea baada ya kuona dalili zote za kutopata kura za kuridhisha kabisa kwenye huu Uchaguzi.

Labda amuimbe kibibi fulani hivi ambaye ni mpinzani mkubwa sana wa mgombea wa Upinzani amsaidie majini ili aweze kumshinda jamaa.

Vinginevyo mhmh!
Faiza fozy?
 
Back
Top Bottom