john agrey
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 1,280
- 2,080
Mshana jr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio upuuzi ni mtazamo wa mtuNani amekupa mamlaka ya kufanya huu upuuzi hapa JF?
Mmh muache mwenzakoNani amekupa mamlaka ya kufanya huu upuuzi hapa JF?
Inaonekana mleta mada na wewe ndio walewale tu!Mmh muache mwenzako
Hebu ambatanisha thread zao tuzione ndio tupige kuraBaada ya mchujo leo ndo kumpigia kura nani anafaa kuwa mshindi na rais wa jf kwa muda wa mwaka mmoja
Na ni mshana jr vs The Boss
Atakayeshinda ataendeleza umoja na mshikamano wetu kama jamiiforums
Unapiga kura kwa kuandika jina la muhusika kati ya mshana jr na The Boss
Atakayeshinda ndiye rais wa jf mpaka tar 31 dec 2018 yaani mwaka mmoja
Haya piga kura yako sasa
NB:Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 dec 2016 saa 4 kamili usiku.
Haya chagua sasa
mshana jr vs The Boss
Well said...Mkuu wakati wenzake wanatafuta maisha yeye anatafuta raisi wa JF..!! halafu mtu kama huyu anakuja hapa na kuanza kulalamika eti maisha magumu!!