MSHANA JR VS THE BOSS PIGA KURA HAPA NANI RAIS WA JF?

MSHANA JR VS THE BOSS PIGA KURA HAPA NANI RAIS WA JF?

MUDA UMEKWISHA MUDA WA KUHESABU KURA HUU
 
Mbona wote wanastahili. ? Huu mtihani kweli. Kwa vile laxima jibu basi The Boss ila wote wanafaa
 
Mshana jr ameibuka.mshindi wa urais wa jf baada ya kupata kura 16 dhidi ya kura 7 alizopata The Boss
Hongera mshana jr kwa kuwa rais wetu
 
Hahhaha huu mchakato ulikuwa official kweli?
 
Back
Top Bottom