Mshana Jr...without sunglasses

Nilitaka kusema waaaoooo Bujiiii heeeeh!!

Kumbe Buji ni photographer na hao ni wateja waliomsumbua location za kupiga picha halafu hawataki kulipia na kuchukua picha zao.

Matata K.
K Matata, unaweza ukasahau jina lako, haha hahah Wanyamwezi watamu sana. K Matata
 



Aaahahahahhahaaaa looh yaani wewe mwanaume khaa...!!

Kumbe unapenda kuvaliwa upande wa khanga eeehh.... Basi hakuna Matata, jiandae tuu kuhesabu Singida Dodoma mkoa wa Tabora, Singida Dodoma mkoa wa Tabora....

Hivi ushajiuliza kwa nini ilikuwa inaimbwa hiyo mikoa mitatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…