Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Jecha ndio nini?
Anaitwa Salim Jecha mwenyekiti wa commission ya uchaguzi Zanzibar, aliwai futa matokeo ya uchaguzi ambao ilisemekana (pengine kweli) kuwa Maalim Seif alishinda ule uchaguzi, ila zikapita figisu figisu finally Shein akashinda kwa nguvu ya dola. (Uchaguzi wa marudio)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽🙏🏽Namshangaa sana Mshana Jr kuamua kufanya hivi hasa ukitilia maanani kishatumiwa vitisho vya maisha yake kuhusiana na anayoyaandika humu. Na kuna uzi aliuanzisha humu kuhusiana na vitisho husika.

Kaamua kuwarahisishia kazi “wasiojulikana”


Well done my boy. Angalia watakuja wasiojulikana, ila sasa watajua kuwa tunajua. Usisahau fridge isibaki empty nipo njiani natoka porini. Mwendo mkali. Huyo ndo mdogo wangu ila kapiga picha amenuna he is so handsome halafu ni black beauty.
 
Back
Top Bottom