Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Demiss aingie kwenye mpambano huu😀😀😀😀Tunapiga kura ID ipi ya kike ilipe mashambulizi ya kuweka picha kama alivyofanya Mshana Jr
Hatuwezi kubaki nyuma katika suala dogo la kuweka picha😂
Kama kuna ID ya kike unataka iingie katika ushindani mtaje au kama yupo kwenye list hapo mtaje