Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Braza mshana kuna siku nilikufanyia faulo road ulimaind sana kumbe ni wewe braza I'm sorry bro nitalipa faini ya vibuyu mpindo vibichi viwili hope vitakufaa kwa kazi yako ila usiniloge tafadhali
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽🙏🏽Namshangaa sana Mshana Jr kuamua kufanya hivi hasa ukitilia maanani kishatumiwa vitisho vya maisha yake kuhusiana na anayoyaandika humu. Na kuna uzi aliuanzisha humu kuhusiana na vitisho husika.

Kaamua kuwarahisishia kazi “wasiojulikana”
Nami nina wasiwasi ila namwamini. Hana mambo ya siasa ila huwa anaongea anachofikiria. Hana chama kwanza yeye kama mimi ila anapenda kusema ukweli. Tatizo humu ukienda kinyume unaitwa Bavicha. Sasa Mshana jr. wajue ameshavuka hata hiyo bavicha yao na mimi ni dada yake na tunapoongea yawezekana sisi ni NCCR Mageuzi lakini kila mtu humu ni Bavicha.
 
Write your reply...
mshana ndugu wa hiari wa pierre!
na nyie wadada/wamama zamu yenu asee mshana mpaka sasa pm wamekuja wangap?
 
Salute mzee baba umekula chumvi kiasi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20190512-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom