Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

kukucheki tu Mshana nkajua we ni mpiga kilauri!
ndio maana ule Uzi wetu wa mupe huyu muruke yule unaung'arishaga
 
Mama niah, huyu ni Mshana Jr kweli?
Subiri tupange uje umuone. Utashangaa ni handsome boy kweli mdogo wangu. Ila macho yake ni ya nyoka yaani ya kudanganya. hahahahaha. Nikitoka porini nitawaunganisha utafurahi. He is a wise guy na hayo mambo ya urozi anawageresha ili JF isonge mbele. Amekaa sana Asia hivyo anajua mambo mengi ya madawa.
cc; Mshana Jr.
 
Back
Top Bottom