Mshana Jr...without sunglasses

Mshana Jr...without sunglasses

Subiri tupange uje umuone. Utashangaa ni handsome boy kweli mdogo wangu. Ila macho yake ni ya nyoka yaani ya kudanganya. hahahahaha. Nikitoka porini nitawaunganisha utafurahi. He is a wise guy na hayo mambo ya urozi anawageresha ili JF isonge mbele. Amekaa sana Asia hivyo anajua mambo mengi ya madawa.
cc; Mshana Jr.
Can't wait....

cc Mshana Jr.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji108][emoji108][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Haahahahaaa.. naweka na sura this time
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1293084/

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji124][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
tapatalk_1558414035637.jpeg
 
Nikajua uneeka sura langu kumbe vidole tuu..
 
Unavyoonekana innocent hivyo, mshana huwezi kuroga hata sisimizi😀😀😀😀

Kidding😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom