KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kha! Hicho kilinge kinashughulika na nini in deeply..?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji119]mimi sio usalama lakini pia siku hizi watu wanavaa vinyago laini mno mtu kuweza kugundua kuwa hiyo sio sura halisi
Mimi nafanya kazi ya kuhudumia maiti... Ila lwasasa nimestaafu na kuamua kuwekeza kwenye elimu ya giza na nina kilinge Msata