Joblee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 1,470
- 1,591
Wana JF natumahi wote mko poa..
Sina nia ya kumjua Mshana kiundani kwani hata nikitaka huenda akazuia ufaham wangu wa akili...
Mara kadhaa sasa amekuwa akipotea humu Jukwaani na hili linatambulika waziwazi kwa kuzimiss post zake..
Tukiachana na wasifu wa kazi yake "mortuary attendant" kuna siku amekuja na post kuhusu wachina wanaofanya biashara haramu hapa Nchini..
Tena wakamuweka kizuizini kwa masaa kadhaa na kumuachia kwa kufuatilia swala hilo...
Ndugu Mshana uko wapi au hawa jamaa wameshakuweka kizuizini?
Kuna taarifa kutoka gazeti moja lililodokeza kuhusu kukamatwa kwa wachina...
Kama upo.. Upo huru hebu tujuze...!