Mshana ukipona na hili la takwimu za udini we kiboko


Tupo sawa mkuu ata naweza ongezea kuwa in the absence of any official data, various ethno-religious groups have made their own estimates and this practice is also to counter estimates from other practioners, refer the heading of the subject. The exercise has sometimes confused the religious picture of the tanzania population. Also in the presence of religion data, the students, scholars, media pundits (TBC) and policy makers would have some reliable numbers to report and offer informed critical analysis of Tanzanian's behaviors in the social, economic and political fields. But in the other hand religious groups will use it to lobby for their own institutions and promote greater separateness in our already vibrant and dangerously society.
 

Kwa nini serikali isiache ukweli ujulikane ili hao scholars wanaotaka kufanya researches wapate hizo data, halafu tuone hao wanaotaka kutumia hizi data kwa madhumuni mabaya tuwaone? Serikali iwashughulikie?

Serikali haioni kwamba kwa kutotoa official figures imetoa mwanya kwa watu hawa hawa ku distort figures?

Shoot first, ask questions last..

Guilty until proven innocent....

Tanzanians do not know what's good for them, deny, deny, deny

In the name of national security.

A la Meremeta.

We should be past this stage.It is insulting to say that Tanzanians cannot be trusted with accurate figures because they will disintegrate based on religious faults.

Trust me, kama watu wanataka kuparaganyika kwa misingi ya dini, hata usipowapa figures za sensa, kutowapa hizo figures ndo kutakuwa chanzo cha mparaganyiko.

Serikali badala ya kufocus kwenye kuelimisha wananchi waondoikane na mawzo finyu ya udini, inataka kutatua tatizokwa njia isiyo sustainable ya kuficha ukweli.
 
 

First of, you don't patronise the patroniser, or your patronising will be patronised.

Mkristo nani? Mbona unaongelea mkristo kama mtu fulani homogeneous wakati siku hizi hata matapeli wanaanzisha vikanisha vyao kwa kutafuta deal? Sasa hawa wakitaka ku inflate figures ili kupata misaada zaidi kwa wahisani wao sisi tutajuaje?

Si jambo la ajabu sana hili.

You are stuck kwenye takwimu za serikali zilizokuwa backed up na dini mara baada ya uhuru, katika karne hii ya leo? Kweli wewe unaweza kutaka kulinganisha hali ilivyokuwa siku zile na siku hizi halafu unategemea watu wakuchukulie seriously?

A scientifically reasoned argument would quickly note that there is no easy litmus test to determine who is an honest Christian and who is a Nigerian hoodlum cum bishop looking for ease of drug transfers through the religious persona, and therefore would not trust figures just because they are presented by some church.

There are too many churches and too many shady charecters for that to give an accurate figure.

Sophists are supposed to see past the surface, you are doing a disservice to that label.
 
...Nakubaliana nawe Mkuu....Sioni sababu yoyote ya maana ya kuzihesabu nyumba za ibada lakini wale wanaoingia katika nyumba hizo za ibada wasihesabiwe...ni kitu cha kustaajabisha sana. Serikali inadai hakuna takwimu sahihi za kujua idadi ya waumini wa dini mbali mbali nchini. Sensa ndio ingetumika ili kuondoa utata uliukwepo kuhusu hizi takwimu ambazo hazina ukweli sasa sijui kwa nini Serikali haikutaka kipengele cha dini kuwepo katika hayo madodoso ya sensa maana tungepata takwimu ambazo zingetupa picha ya asilimia ngapi ni wapagani, wakristo, waislamu na dini nyingine lakini sasa utata huu utaendelea kwa miaka mingine 10 au hata zaidi....Serikali kwenye hili kama ilivyo kwenye maamuzi yake mbali mbali kwa mara nyingine tena imechemsha kwa kiwango cha juu kabisa.

 
All excuses aside.

Mtu yeyote anayejali usomi na research akiangalia video iliyokuwa linked to katika post namba 38 ya thread hii atajua umuhimu wa swali la dini katika sensa.
 
 
 
nina watoto wawili, mmoja yupo Loyola form II na mwingine yupo darasa la 5 IST malengo yangu minimum level ni Master Degree kwa pesa yangu. Jirani yangu na age mate wangu ana jumla ya watoto 7 hadi sasa katika wake watatu na idadi huenda ikaongezeka maradufu wanne wa mwanzo wameishia form 4. Hawa wawili kwa nini wasiwaongoze hao 7+? Tupo ki-quality zaidi wao ki-quantity zaidi....hiyo akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…