KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
ndele at work![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndele at work![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]
[emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]ndele at work!
mkuu na huyu duh! we si mtu wa mchezo mchezo na kweli umemscorpion haoni kwengine!![emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mcha Mungumkuu na huyu duh! we si mtu wa mchezo mchezo na kweli umemscorpion haoni kwengine!!
tuliitwa wapiga dili tukuite nani..?
ha ha! sio mcha 6!![emoji3] [emoji3] [emoji3] mcha Mungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]ha ha! it's just a joke!
[emoji23]Uzuri wake ni kwamba Mshana JR akija tu wote tutajua kuwa kaja. Naomba Mungu ujio wake tu usiwe wa kunikosesha usingizi.
gadibuuuuScorpio me
[emoji23]mmoja mmoja ndo mpangonasubiri zamu yangu ifike, last week chief , leo mshana
[emoji7][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmwaa[emoji817] thanks [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Panapo kosekana bunduki rungu hufaa na pia wahenga walisema "kosa kosa ya nyahua malongwe hizi ni stations mbili za treni so ukikosa kufika nyahua basi hata ukifika malongwe sio mbaya . Nawe sasa humu yupo mshana photo copy basi tunasema haijambo hata huyo uzugie kabla ya mshana jr original hajarudi
Swahiba kama watu walidhani utachacha 2017 inabidi wawe wavumilivu mwaka uliumaliza na uraisi huu umeuanza mtoto mzuri anakuulizia kuwa kakukosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Ile Avatar yako una kofia ya M4C ilikuwa inanikosha sanaMwambie you are spreading your legs kabisa;sio love tu...
teh!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji31] [emoji115]Swahiba kama watu walidhani utachacha 2017 inabidi wawe wavumilivu mwaka uliumaliza na uraisi huu umeuanza mtoto mzuri anakuulizia kuwa kakukosa
achana na mshana njoo kwangu..[emoji23]mmoja mmoja ndo mpango
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa nini unataka nipigwe ban la kudumu?kunichukia hivyo hadi unataka kuniwekea mtego huo ndo nini??[emoji21]