Mshangao: Askari wa Kenya wakimbia mvua Rais Samia alipomaliza kuhutubia Bunge

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Askari wa Kenya wakimbia mvua baaada ya Rais Samia kumaliza kuhutubia bunge. Askari hao walikimbia na kwenda kujificha kwenye baraza la bunge.

Hilo ni tukio la ajabu kwa askari kuogopa kulowana na mvua. Picha ya juu ni askari wakiwa wamejipanga kabla ya mvua na picha ya pili ni baada ya wao kukimbia na eneo kubaki tupu.


 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanajali hali
Wamehenyea ukumbini hao[emoji23][emoji23]
 
Sasa wangesimama tu hapo wanyeshewe ili iweje vile, si hata Mama Samia angewashangaa basi. Acha kuwa na akili finyu na za kingese hivyo. Mh. Samia ashamaliza kuhutubia bunge na alikuwa anaondoka ndipo mvua ikaanza kunyesha, hakuna jambo la kuwafanya kusimama hapo nje tena. Hawako parade ya passing out hapo. Saa ingine ukipost kitu fikiria kwanza, kuna kitu cha kushangaza hapo kweli??? Si wavunja matofali hao, ni police band! 🀣
 
Hawa Askari wa kupiga band ndo unatufungulia mada jameni!? Hao walipiga band na wakamaliza kazi yao ulitaka waendelee kupigia band samaki?


Hawa hapa basi walinyeshewa wakati Kila mtu ameondoka ndo pia hao wakaondoka manake so wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…