uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Hata huku yanakuja ila sio kwa bunge hili la vibungo
Tafsiri ya "Vibungo" mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huku yanakuja ila sio kwa bunge hili la vibungo
Refer #19 utapata maana yake!Tafsiri ya "Vibungo" mkuu
Refer #19 utapata maana yake!
Raila anataka 'mkate' tu, ila anavuruga nchi.Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa.
Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
Aisee!Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa.
Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.