Mshangao Kenya: Spika ajikuta peke yake bungeni

Ina maana hakuna itifaki hadi Spika aingie kwenye jengo lisilo na mbunge ?
Kama ndivyo, basi hawa wadogo wetu ni zero brain kiitifaki
 
Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa.

Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
Raila anataka 'mkate' tu, ila anavuruga nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…