Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Mwambie no Reform no Ellection, SimpleWanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa sana aisee na nikabaki kinywa wazi kwa mshangao aisee
Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa kutongoza mwanaume? Kwamba huyu mwanamke alisubiri kutongozwa na mimi baada ya kuniona simtongozi ndipo akaamua kunichana live? Nimeshindwa kuelewa Aisee
Kuwa na fikra za kizungu haimaanishi tutakuwa tumeuendea usasa, tukubali tamaduni zetu Mwanamke hatongozi ila anaweka urahisi wa yeye kutongozwaHayo ni mazoea Kwa sisi watu weusi kwamba mwanaume hatongozwi inamaana mwanamke Hana hisia? Anasubir yeye ndo atafutwe fikra zetu bado ni za Karne y nyuma sana
Hata mimi nakushangaa aisee! Au ndo mara yako ya kwanza kupigwa swagger na mwanamke? Mbona siku hizi ishakua kawaida kuanzia watoto wa 2000 mpaka mishangazi wana huo ujasiri miaka hii...Wanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa sana aisee na nikabaki kinywa wazi kwa mshangao aisee
Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa kutongoza mwanaume? Kwamba huyu mwanamke alisubiri kutongozwa na mimi baada ya kuniona simtongozi ndipo akaamua kunichana live? Nimeshindwa kuelewa Aisee
Hayo ni mazoea Kwa sisi watu weusi kwamba mwanaume hatongozwi inamaana mwanamke Hana hisia? Anasubir yeye ndo atafutwe fikra zetu bado ni za Karne y nyuma sana
Kuwa na fikra za kizungu haimaanishi tutakuwa tumeuendea usasa, tukubali tamaduni zetu Mwanamke hatongozi ila anaweka urahisi wa yeye kutongozwa
Hapa sizungumzii uzungu nazungumzia hisia Kwa binadam hata mwanamke anahaki ya kupenda ni jambo la kawaida au ni Ile tumezoea mwanaume ndiye anayeanza ndo maana wengine mkitongoza mnakataliwa sababu mtu Hana hisia na weweKuwa na fikra za kizungu haimaanishi tutakuwa tumeuendea usasa, tukubali tamaduni zetu Mwanamke hatongozi ila anaweka urahisi wa yeye kutongozwa
Ninachojuw mwanamke anaruhisiwa kumtongoz mwanaume amuoe kwa kuomba.sio kuwa na mahusiano ni jambo la kushangazaWanawake wa siku hizi bado mnaendelea kunishangaza sana aisee nashindwa kuwaelewa inakuaje kabisa mwanamke bila haya au hiyana unanisimamisha mimi na kunitongoza? Aisee kwanza nilibaki nimeduwaa sana aisee na nikabaki kinywa wazi kwa mshangao aisee
Wanawake wa siku hizi wanapataje ujasiri wa kutongoza mwanaume? Kwamba huyu mwanamke alisubiri kutongozwa na mimi baada ya kuniona simtongozi ndipo akaamua kunichana live? Nimeshindwa kuelewa Aisee
Ukiwakuta wanawake wengine wanatani watongezwe na wanaumia sana wanaume flan wakiwa kimya.Kuwa na fikra za kizungu haimaanishi tutakuwa tumeuendea usasa, tukubali tamaduni zetu Mwanamke hatongozi ila anaweka urahisi wa yeye kutongozwa