Mshangao! Nimetongozwa na mwanamke mtaani

Mi mwenyewe nimetongozwa na mademu jumla wanne, hapo sijawahesabu walionitongoza kwa ishara bila kusema live.
 
Hahaha
 
Mi mwenyewe nimetongozwa na mademu jumla wanne, hapo sijawahesabu walionitongoza kwa ishara bila kusema live.
🤣🤣 Duuh mi ni bila bila! Vipi unatumia pesa au?
 
Hata mimi nakushangaa aisee! Au ndo mara yako ya kwanza kupigwa swagger na mwanamke? Mbona siku hizi ishakua kawaida kuanzia watoto wa 2000 mpaka mishangazi wana huo ujasiri miaka hii...
Eeh makubwa Extrovert tupe experience yako najua hukosi
 
Au sio 🤣
 
Ulitaka kutongozwa na nani, mwanamme mwenzako ama?
 
Kwa hiyo unataka kutongozwa na wanaume wenzako si ndiyo?
 
Kuna wengine wana jinsia Mbili uende kwa taadhali usije ukaliwa wewe.
 
Yote haya sababu ya hiki chama
 
Hamna Cha ajabu hapo Tena inatakiwa kuishi hivyo.

Mdada unakuta kampenda MTU ila kumwambia anashindwa hadi anapoteza bahati yake.

Turejee mkutano wa Berlin
 
Ahahaha 🥺🥺 unashangaaa hiyo mkuu mi Kuna mmoja hata sijawahi kumtongoza juzi anataka tu-sex yaan mpka mwili ukafa ganzi aseeee
 
Du hizo bahati mbona mimi sijakutana nazo.demu amenizimikia namkubalia simsumbui
 
Eeh makubwa Extrovert tupe experience yako najua hukosi
Nimetoka kula mbususu kwa mshangaz alienipiga swagga kama week 1 iliyopita. Kumbe long time alikuwa ananikong'otea tu ila anakufa nalo moyoni.

Kunipa code tu, sikumchelewesha nikampeleka kibla.
 
Nimetoka kula mbususu kwa mshangaz alienipiga swagga kama week 1 iliyopita. Kumbe long time alikuwa ananikong'otea tu ila anakufa nalo moyoni.

Kunipa code tu, sikumchelewesha nikampeleka kibla.
Daah watu na bahati zenu. Vipi alikua na tako kubwa? Kama lipo asee umefaidi sana ila usisahau ukimwi upo tusije tukakupoteza dogo
 
Jana nipo zangu gengeni kaja manzi karibu na mimi anaanza fujo fujo pale hata hatulii ananigusa gusa yani mi naonaga wanawake kusogeleana na wanaume kwa fujo hizo hawanaga hayo mambo yule atakuwa alikuwa na lake jambo afu kumbe kaja na mme wake na anakatoto kadogo, nimeshindwa kuelewa alikuwa anatakaje nilishindwa hata kuchukua mawasiliano sababu ya mumewe
Ila kama yumo humu na anasoma hii tukikutana tena kitaeleweka asitembee tu na mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…