Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kapicha kidogo tafadhaliMhhh! Kwa kweli kumbe ni sisi ndo tunafanyeje siasa za uadui wenzetu wako mbali mno.
Tujitafakari sana
Hujielewi wewe, watumishi wa serikali hii ya ccm ndio ambao hawajui kutumia madaraka yao kwa usawa na kitaifa bali wamejaa ubaguzi na kauli za kejeli ambazo ndizo zinaleta majibu ya wayapatayo.Magufuli kafanikiwa sana kuwaunganisha hawa jamaa..uzuri upinzani wa kenya hutawasikia wakitukana serikali wala viongozi wake..wala kubeza au kutaka kukwamisha maendeleo mfano kushawishi nchi wahisani au wadeni kuzuia mali za nchi nje..hawa watu hutofautiana kipindi cha uchaguzi na upinzani siasa zao ni za msimu sio kila siku..kwa hiyo ni rahisi sana kuwa pamoja..anachofanya magufuli ni kuleta mfumo wa
za kenya huku kwetu..kuwe na mipaka ya kufanya siasa na kuongea siasa..kitu ambacho upinzani wa huku hawataki..ila watafundishwa kwa shuruti.
Wewe ni wale watu wanaoona tukio moja wanakimbilia kutoa conclusion kama yule kipofu wa kwenye hadithi. Unazijua siasa za Kenya wewe? Siasa za Kenya ni za unafiki na maslahi. Leo unakuta watu wanachekeana, kesho unakuta wanauana. Jaribu basi angalau kusoma historia ya Kenya uone ni wanasiasa wangapi wameshauawa kwenye mazingira ya utata.Mhhh! Kwa kweli kumbe ni sisi ndo tunafanyeje siasa za uadui wenzetu wako mbali mno.
Tujitafakari sana
Pimbi weee..Kila siku unanitukana, kila siku unapotosha ninachokifanya halafu nikushirikishe kwenye serikali yangu?
Never! nitakushirikisha risasi 38 na kifungo upate adabu.
Muulize Magufuli kisa cha kutaka kufuta vyama vingi kwa muswada huu wa kishamba , CCM ndani ya demokrasia ya kweli haiwezi hata kumaliza wiki 1Wapinzani wakenya ni wastarabu sana na waelewa.. sisi haya ya kwetu hata hayana sera wala dira hayajui yanaekea wapi yao kazi kubwa ni kupinga tu, BASI WANGEKUWA WA MAANA KAMA WANGEKUA WANAPINGA NA KUTOA SULUHISHO ila ni tofauti yanaendesha siasa kwa kutegemea mlango wa pili, yaani siku SISIEM wasposema wakanyamaza basi na upinzani unanyamaza maana hamna cha kusema