Mshangao: Raila Kisumu Kwa Maandalizi Ya Kumpokea Rais Uhuru

Magufuli kafanikiwa sana kuwaunganisha hawa jamaa..uzuri upinzani wa kenya hutawasikia wakitukana serikali wala viongozi wake..wala kubeza au kutaka kukwamisha maendeleo mfano kushawishi nchi wahisani au wadeni kuzuia mali za nchi nje..hawa watu hutofautiana kipindi cha uchaguzi na upinzani siasa zao ni za msimu sio kila siku..kwa hiyo ni rahisi sana kuwa pamoja..anachofanya magufuli ni kuleta mfumo wa siasa za kenya huku kwetu..kuwe na mipaka ya kufanya siasa na kuongea siasa..kitu ambacho upinzani wa huku hawataki..ila watafundishwa kwa shuruti.
 
Kila siku unanitukana, kila siku unapotosha ninachokifanya halafu nikushirikishe kwenye serikali yangu?
Never! nitakushirikisha risasi 38 na kifungo upate adabu.
 
Hujielewi wewe, watumishi wa serikali hii ya ccm ndio ambao hawajui kutumia madaraka yao kwa usawa na kitaifa bali wamejaa ubaguzi na kauli za kejeli ambazo ndizo zinaleta majibu ya wayapatayo.
Umesikia maneno aliyosema yule Naibu waziri kwa Mbunge wa Simanjiro aliyehamia CCM? Ingekuwa Kenya kesho tuu ungekuta kavuliwa uwaziri. Lakini kwa ujinga wa hapa eitha ataachwa hivyo hivyo au atapewa Uwaziri kamili.
 
Mhhh! Kwa kweli kumbe ni sisi ndo tunafanyeje siasa za uadui wenzetu wako mbali mno.
Tujitafakari sana
Wewe ni wale watu wanaoona tukio moja wanakimbilia kutoa conclusion kama yule kipofu wa kwenye hadithi. Unazijua siasa za Kenya wewe? Siasa za Kenya ni za unafiki na maslahi. Leo unakuta watu wanachekeana, kesho unakuta wanauana. Jaribu basi angalau kusoma historia ya Kenya uone ni wanasiasa wangapi wameshauawa kwenye mazingira ya utata.
 
Kila siku unanitukana, kila siku unapotosha ninachokifanya halafu nikushirikishe kwenye serikali yangu?
Never! nitakushirikisha risasi 38 na kifungo upate adabu.
Pimbi weee..
Ukifanya ya ovyo utaambiwa ukweli tu (ndio huko unasema unatukanwa..)..
Wewe ni nani usikosolewe bhana..??!
 
Wakenya wameweza kumaliza tofauti zao za kisiasa na kiitikadi,na Sasa ni wamoja wanaijenga Kenya yao kwa umoja,mshikamano na amani,kwanini sisi tanzania tumeshindwa kumaliza tofauti zetu za kisiasa,kiitikadi, na mshikamano umoja,amani na upendo?

Tanzania miaka ya nyuma sisi ndio tulikuwa tunaongoza kwa mshikamano,maridhiano ya kisiasa na upatanishi katika bara la Africa na dunia,ni nini kimeikumba nchi yetu tanzania?

Kanisa katoliki,kkkt,bakwata,na jumuiya nyingine,mnajua kupendana ni amri?

Nawaomba viongozi wastaafu,makanisa,misikiti,na Kila mdau mcha mungu,tujitahidi kupatanisha pale palipo na mpasuko
Mungu ibariki tanzania na watu wake wote
 
Wapinzani wakenya ni wastarabu sana na waelewa.. sisi haya ya kwetu hata hayana sera wala dira hayajui yanaekea wapi yao kazi kubwa ni kupinga tu, BASI WANGEKUWA WA MAANA KAMA WANGEKUA WANAPINGA NA KUTOA SULUHISHO ila ni tofauti yanaendesha siasa kwa kutegemea mlango wa pili, yaani siku SISIEM wasposema wakanyamaza basi na upinzani unanyamaza maana hamna cha kusema
 
Muulize Magufuli kisa cha kutaka kufuta vyama vingi kwa muswada huu wa kishamba , CCM ndani ya demokrasia ya kweli haiwezi hata kumaliza wiki 1
 
Sio kwa CCM hii tunayoijua.

Kwanza Kenya ina watu wanaojulikana both Chama tawala na Wapinzani...sisi Tanzania tuna jamii ya Watu wasiojulikana.

Ulishawasikia hao popote tena duniani?

Utapatanaje na watu wasiojulikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…