JourneyMan
Member
- Apr 1, 2020
- 42
- 50
Sitaki kusema ni mimi au laaa..ila ni issue ya kweli..
Ipo hivi
Mhusika kabla ya mkopo alikua anaweza kusave 400k kwa mwezi kutoka kwenye Salary,
Akaona hio 400k inayozidi aikopee bank, riba Mil 3, afungue biashara, pengine atapata zaidi.
Akachukua mkopo wa miaka 3, makato ni laki 4 na senti kadhaa..
Kwenye hio biashara baada ya matumizi yote faida inacheza kati ya 350k-400k kwa mwezi, kwa wastani 380k.
Halafu ndio anayoisave kwa sasa.
Namaanisha mwanzo kutoka kwenye salary alikua na uhakika wa ku save 400k
Asaivi kutoka kwenye faida ya biashara ana save 350k - 400k, kwa wastani tuseme ni 380k.
NOTE : Hio saving ni LAZIMA, kuna jambo anataka kufanya.
SWALI, Jee hii biashara kwa alipotoka, alipo sasa na malengo yake ina faida au laa?
Kuna mvutano, mwingine anamuambia aache, mwingine anamwambia endelea.