johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nami nimeanza kuamini ukihoji tu mapato na matumizi lazima uitwe msalitiChadema hawataki kabisa watu wenye akili nyingi
Ninashauri serikali IACHE kuharibu Kodi zetu kuvipa ruzuku vyama vya siasa !Nami nimeanza kuamini ukihoji tu mapato na matumizi lazima uitwe msaliti
CCM ni wanufaika wakuu wa ruzuku hawatakubali, wanavuta 3B per moonNinashauri serikali IACHE kuharibu Kodi zetu kuvipa ruzuku vyama vya siasa !
Kabisa yaaniChadema hawataki kabisa watu wenye akili nyingi
Ninashauri serikali IACHE kuharibu Kodi zetu kuvipa ruzuku vyama vya siasa !
Yaani mtu amefanya kazi miaka yote hayo bado mnataka aendelee tu kufanya kazi? Au watu mnafikiria alitakiwa afie kwenye hicho nafasi? Jamani kuna monitoring and evaluation....yeye ashukuru amekaa hapo miaka hizo zinatosha.Chadema hawataki kabisa watu wenye akili nyingi
Leo tena kalalsmika eti mnyika kamleftisha kwenye groupACCA & CPA Abohokile Mwaitenda ambaye ameondolewa kwenye Cheo cha Mshauri mkuu wa Chadema wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji na Katibu mkuu Mh John Mnyika Wiki ijayo ataongea na Waandishi wa Habari
Mwaitenda pia alikuwa ni Mjumbe wa kamati ndogo ya Uwekezaji iliyosimamia Ununuzi wa Jengo la Makao Makuu ya Chadema Mikocheni jijini DSM
Aidha ACCA&CPA Mwaitenda tarehe 20/01/2025 atakabidhi Ripoti Maalumu ya Utendaji Wake Katika kupitia Ripoti zote za CAG na Mikataba ya Fedha na Mali za Chama kuanzia 2019 mbele ya Mkutano mkuu wa Taifa ambao ndio utaamua kama arejeshwe kwenye Nafasi yake ya Ushauri ama la
Credit: Tanzania Leaks
Merry Christmas ๐น๐
Mbowe amekaa muda gani hapo CHADEMA kama mwenyekiti?Yaani mtu amefanya kazi miaka yote hayo bado mnataka aendelee tu kufanya kazi? Au watu mnafikiria alitakiwa afie kwenye hicho nafasi? Jamani kuna monitoring and evaluation....yeye ashukuru amekaa hapo miaka hizo zinatosha.
Mambo mengine ni coincidence tu lakini siyo kuunganishwa na matukio yanayoendelea ya uchaguzi.
Au unadhani alikuwa na mkataba wa maisha.