johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ACCA & CPA Abohokile Mwaitenda ambaye ameondolewa kwenye Cheo cha Mshauri mkuu wa Chadema wa Fedha, Uchumi na Uwekezaji na Katibu mkuu Mh John Mnyika Wiki ijayo ataongea na Waandishi wa Habari
Mwaitenda pia alikuwa ni Mjumbe wa kamati ndogo ya Uwekezaji iliyosimamia Ununuzi wa Jengo la Makao Makuu ya Chadema Mikocheni jijini DSM
Aidha ACCA&CPA Mwaitenda tarehe 20/01/2025 atakabidhi Ripoti Maalumu ya Utendaji Wake Katika kupitia Ripoti zote za CAG na Mikataba ya Fedha na Mali za Chama kuanzia 2019 mbele ya Mkutano mkuu wa Taifa ambao ndio utaamua kama arejeshwe kwenye Nafasi yake ya Ushauri ama la
Credit: Tanzania Leaks
Merry Christmas 🌹😃