lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Mi namshauri apandishe dau la biashara yake.Ni ukwl usiopingika kwamba umaarufu wake ni kama haufi kwl tangu 2006 mpaka sasa kuwa juu c mchezo, ana nyota nzr Sana, tatizo naona kama Wema hajautumia ustar wake ukamletea utajiri bado kwakwel hebu mshauri afanye nin hapa ili awe billionaire .. mimi namwambia awekeze kwny nyumba..ajenge nyumba za kupangishia watu.. tiririsha wazo lako.
Namshauri achukue hatua ya kupimwa akili kama yuko sawa...