lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Ni ukweli usiopingika kwamba umaarufu wake ni kama haufi kweli tangu 2006 mpaka sasa kuwa juu sio mchezo, ana nyota nzuri sana
Tatizo naona kama Wema hajautumia ustar wake ukamletea utajiri bado kwakweli.
Hebu mshauri afanye nin hapa ili awe billionaire,mimi namwambia awekeze kwenye nyumba ajenge nyumba za kupangishia watu.
Tiririsha wazo lako.