nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
kaka yangu amemaliza form 6 2009 na kupata matokeo phy-S,Chem-D na advance math E,anataka ku apply mwaka huu wa masomo,hajawahi kuchukua mkopo bodi ya mikopo lakini bodi hawatoi mikopo kwa waliomaliza zaidi ya miaka miwili,sasa anataka asomee japo ualimu ili apate mkopo(kama HESLB walivyoeleza) japo sio malengo yake,sasa anataka kujua ile bsc education Mathematics ya TEKU inapata mkopo?au pia kwa chuo kama UDOM apart from ualimu kwa course za EARTH SCIENCE anaweza kupata kupata course gani kwa matokeo yake?naomba alie na uelewa amsaidie mawazo