Mshaurini huyu kozi za Shahada ya Kwanza

nimahussein

Senior Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
181
Reaction score
27
kaka yangu amemaliza form 6 2009 na kupata matokeo phy-S,Chem-D na advance math E,anataka ku apply mwaka huu wa masomo,hajawahi kuchukua mkopo bodi ya mikopo lakini bodi hawatoi mikopo kwa waliomaliza zaidi ya miaka miwili,sasa anataka asomee japo ualimu ili apate mkopo(kama HESLB walivyoeleza) japo sio malengo yake,sasa anataka kujua ile bsc education Mathematics ya TEKU inapata mkopo?au pia kwa chuo kama UDOM apart from ualimu kwa course za EARTH SCIENCE anaweza kupata kupata course gani kwa matokeo yake?naomba alie na uelewa amsaidie mawazo
 
Kwaa marks zakee mwambiee aepukee vyuo vyenye competition atapata ualimu awezikosaa chuo kama teku ulichokitaja na hata udom wanaweza kumchukua na loan awezi kosa watampatia yee aaply tuu asijalii
 
Udom siku hzi wanaringa,anaweza asipate.
 
Udom atapata asikutishe uyo wewe apply kaka ila UDSM Usijaribu.
 
Hahaha,wanaringa kwa nini mkuu

siku hzi wanafunz wengi wanakimbilia udom kwa kufuata unafuu wa ada,mwaka jana kuna mtu alikua na dv 2 akaomba udom kama first choice wakamtosa kaishia kwenda mwenge.
 
Back
Top Bottom