Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?
ni ushauri tuu nimeutoa, kama mnahisi yeye anafaa kwa uraisi tuu, basi asubiri 2015 ajaribu tena
Msiwe na wasiwasi mna wabunge wengi atapita tuu, Tundu Lissu peke yake ni sawa na wabunge 50 wa CCM (Kwa mujibu wa ndoto zenu)
Una ugojwa wa matende??
Hilo linyegekuwa jambo la Busara sana kama angegombe uspika, ila atagombeaje na yeye sio mbunge tena, labla atafute jimbo achakachue ili aweze kugombea Ubunge kwanza aweze kuingia bungeni ndio aweze kugombea Uspika. Ila tatizo lililopo wapinzani wenyewe hawana ushirikiano, hapo unadhani atashinda kweli?
Msiwe na wasiwasi mna wabunge wengi atapita tuu, Tundu Lissu peke yake ni sawa na wabunge 50 wa CCM (Kwa mujibu wa ndoto zenu)
Msiwe na wasiwasi mna wabunge wengi atapita tuu, Tundu Lissu peke yake ni sawa na wabunge 50 wa CCM (Kwa mujibu wa ndoto zenu)
maneno ya mkosaji...:nono:Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?
we MSENgerema nini????
hivi ujioni ni mjinga hata post yako hamna alietoa THANKS...
mana unaandika non sense...
KILAZA KILAZA KILAZA kavamia kwa wenye busara