Elections 2010 Mshaurini Slaa Agombee Uspika

Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

Kwanza tukubaliane kuwa CHADEMA ndo kimeshinda na sio Dr Slaa.Alafu tuukubali ukweli kwamba wakati huu unafiki wa baadhi ya wachumia tumbo hauna nafasi na safari ya kuelekea katika Tanzania tunayoitaka imeshaanza.

CHADEMA ni washindi,wameshinda kwenye miji mikuu yote ya nchi hii,maana yake ujumbe waliokuwa wanapeleka kwa wananchi umefika barabara.

Mjini ndo mwanzo wa mapinduzi yote,huku kuna vyombo vya habari,watu wapo updated na ukikubalika na aina hii ya watu basi ujue wewe ni mshindi.Hili ni pigo kwa CCM hata kama mwanandewa hataki kukubali.Lkn iwe iwavyo,safari ya kuwafikia watanzania waishio vijijini imeanza na 2015 sio mbali tutaiona Tanzania mpya.

Aluta Continua!
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?
plasmodium SUGU
 
KIla mtu anajua Dr.Slaa ameshinda ila CCM wamechakachua Kura zilizopigwa. Kura za vituoni na zinazosomwa na TUme tofauti kabisa!! Kwa hiyo Kikwete ndo aombe huo uspika.
 
kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa ccm, kama hivyo ni kweli basi mshaurini slaa agombee uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

acha usho#a wewe unajua sheria ya mtu kuwa spika au unahara kwakuwa umebanwa na uharo?
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

yaani wewe ni kama punda kabisa, how can someone mentally fit be proud of ccm with all its pitfalls! Nitakuita juha kama rais wenu anavyopenda kukuiteni!:sad::sad:
 
Du Tanzania ina watu wa ajabu sana. Ukikuta mtu anashabikia CCM ujue anafaidika kwa namna fulani na mfumo uliopo wa kifisadi usiojali maslahi wa wengi na kama yeye ni mtu wa kawaida kama mimi basi anakiwa apimwe akili kwanza.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa Na Ncha
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

wewe ni mwanadewa:doh:
 
Yamekuwa hayo tena, huna busara hata kidogo, lakini sijali kwa matusi hamuwezekani

nina busara ndo mana nko kwenye jf, we hujishitukii watu wote wapo tofauti na wewe hata hawakuungi mkono...
kenge wewe kwenye msafara wa mamba..
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

Wewe ni tz kweli au foreign observer?
 
Ni ushauri tuu nimeutoa, kama mnahisi yeye anafaa kwa uraisi tuu, basi asubiri 2015 ajaribu tena

Na wewe nakutuma Mshauri Babu Makamba kwani naye hajapata cheo cha kuchaguliwa
 
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi mshaurini Slaa agombee Uspika kwani ameangukia pua kwenye uraisi, au bado mna matumaini?

Fisadi wewe..........................................
 
Kwa Taarifa yako, Dr. ana mambo mengi ya muhimu ya kufanya kuliko huo uspika, wewe tatizo lako unafikiri siasa ndio maisha.
JAMANI JF IMEINGILIWA NA WACHAKACHUAJI, NAONA NDO WAMESHAMALIZA KAZI SASA WAMEKUJA. KWA TAARIFA YENU MTABAKIA WENYEWE , SI NDO TUMESHAMALIZA TUNATELEZA . KALAGHABAHO
 
Unashauri hivyo a kuna watu unawataka wamshauri? Toa ushauri wako badala ya kuwaomba wengine wakutolee weye ushauri.

Sikonge alimwaga hapa kampeni zake za kutaka Dk Slaa agombee urais na ikawa hivyo. Ushauri wako ni upi?
 
Back
Top Bottom