GE2025 Mshereheshaji Maarufu, Dr. Cheni achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini

GE2025 Mshereheshaji Maarufu, Dr. Cheni achukua fomu kugombea Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mambo yamezidi kupamba moto!

Mshereheshaji Maarufu nchini Mahsein Awadh Said alimaarufu kama Dr. Cheni ametangaza rasmi kuchukua Fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kilwa Kusini.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025​


Screenshot 2025-06-30 193534.png
 
Back
Top Bottom