Mshika mawili moja humponyoka yamenikuta


Pole sana Muda mwingine unatakiwa kuomba ushauri kabla. Ili upewe muongozo hususani unapokuwa na wake zaidi ya wawili.

Kuna malegends wanajua namna ya kuwaendo na si kwenda pupa kama ulivyofanya[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe rudi Dar ujipange upya umeshapuyanga.
 

ndio nimekataliwa bana
 
πŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈπŸ§πŸ»β€β™‚οΈ
 
Niko hapa mitaa ya kcmc mkuu hebu leta namba nikuombee msamaha
 
We. Mbwa kwanini usiweke kindege(flight mode) ukiwa na hizo Malaya zako?Akili zako mbona hazichanganyi unatatizo gani mangi
 
Mimi nakuombea kwa Mungu.
Mungu muepushe huyu mtu na dhambi ya zinaa ktk maisha yako yote, kama ulivyomuepusha wakati uliopita.
Eemen.
 
Tukuombee kwa nani?kwa shetani au hao mademu zako?
 
Haraka sana rudi daslamu...umeepushwa na ukimwi,kupukutishwa hela zako zaid na stress pia!pitia hapo KKKT au kristo mfalme au msikiti wa riadha ushukuru Mungu,toa sadaka na sepa hata na fuso la nyanya.ova
 

Kufuru, laana hii, kweli unatumia kauli ya kutaka uombewe? Kufuru hii jaman
 
Aisee kabla ya kuwaomba msamaha hao wanawake zako kaombe msamaha kwa Mungu wako, tubu !
 
Aiseee comment yako ni ya mwaka eti keshapuyanga arudi shule afundishwe, yaani dar haija msaidia japo kaishi dar afu anafeli mkoani. πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hahahahah dogo mshamba sana huyo manka angevunja tu na simu yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…