DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Asante kwa kumjibu Mkuu, mtu hana uelewa na hataki kuelewa.Ni dhahiri huelewi chochote kuhusu forex trading. Take time and do a little research. No research no right to speak.
Sent using Sukhoi Su-57
KakaNaona kila mtu ndugu yake kauza kitu....
Daud1990 asante sanaAchana na Bank of Tanzania (BOT). Soma hii article kutoka Bank Of England (BOE).. Hiyo ni makala ya Benk Kuu Ya Uingereza. Nakuomba upitie mstari kwa mstari uje kuwaelemisha wengine humu.
Does the Bank of England set the exchange rate? | Bank of England KnowledgeBank - The economy made simple
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo kwenye huu mtangane tangia mwaka Jana ila saachi milele pamoja na vitasa ninavyopigwa ila naona kila siku naimprove
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pale wanapoambiwa sell uroyuesidi alaf yenyewe inapanda kma drimulaina alaf unambiwa hold 2 to 4 days huku watu kamisheni zinaongezeka tuUnataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
BrooKabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.
Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.
Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.
Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.
Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.
Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.
View attachment 982938
Sent using Jamii Forums mobile app
NIKIONAGA TU HUWA ROHO NYEUPE INATAKATA. KAMA NI BUY AU SELL MAANA NAJUA MAANA ZAO
Hawajawahi kukuonesha picha za magari yao, nyumba zao among others walizopata kutokana na hiyo business ?Kibaruani kwangu kuna mtu anawazoa watu kuwaunganisha huko FOREX mi nligoma kwakua siijui hio biashara ila waliounganishwa siwaoni kama wana nyuso za uchangamfu. Nahisi inataka kufanana na FOREVA LIVING
Sent using Jamii Forums mobile app
I like your spiritHivi inakuaje mtu unachoma account ya dola 2000?...___ Mimi siwezi kuchoma hicho kiasi. Never was, Never Will.
Tafuteni maarifa. Learn More Than You Trade.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mtumiaji wa madawa ya kulevya na hasiye tumia nani huwa ana uchungu na mwenzake ?Maajabu ya hii biashara ya forex ni kwamba watu wasiotrade ndo wana machungu ya kupoteza pesa kuliko wanaotrade, hao ndugu zenu wanaouza nyumba kwa ajil ya forex hawatofanikiwa asilani, forex inataka heshima na skills
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati wa fundamental unakuaje na open possition ilihali hujui fundamental inaendaje!? ile ina utaalamu wake hasa zile NFP na interest rate decsnNilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
Vp kuhsu ALLIANCEHawajawahi kukuonesha picha za magari yao, nyumba zao among others walizopata kutokana na hiyo business ?
hahaaaa tutaifilisi banaHongera sana. Mwaka 2019 utakuwa safi kabisa. Kama tukijipanga vizuri na issue ya Brexit Pesa ipo ya kutosha. Maana tarehe 29.03/2018 kama Muingereza akijitoa rasmi European Union ni kusell pair za GBP mpaka watu watuite vichaa.
BTW hongera sana kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app