Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Kila kitu ni uvumilivu. Hata biko wanaoshinda ni wale wavumilivu hadi mwisho wa safari.
 
Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pale wanapoambiwa sell uroyuesidi alaf yenyewe inapanda kma drimulaina alaf unambiwa hold 2 to 4 days huku watu kamisheni zinaongezeka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBONA MAMBO YANA ELEWEKA TU. NI EITHER USOME KWA BIDII AU UPATE RAFIKI MZURI WA KUKUPUSHI.

CHFJPYWeekly.png
 
Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.


Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.



Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.


Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.




Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.

Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.




View attachment 982938

Sent using Jamii Forums mobile app
Broo
wewe ni chief agent wa forex hapa Jf ? Napenda sana spirit yako katika kuitetea hii career ya foreign exchange business.
 
Kibaruani kwangu kuna mtu anawazoa watu kuwaunganisha huko FOREX mi nligoma kwakua siijui hio biashara ila waliounganishwa siwaoni kama wana nyuso za uchangamfu. Nahisi inataka kufanana na FOREVA LIVING

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajawahi kukuonesha picha za magari yao, nyumba zao among others walizopata kutokana na hiyo business ?
 
Maajabu ya hii biashara ya forex ni kwamba watu wasiotrade ndo wana machungu ya kupoteza pesa kuliko wanaotrade, hao ndugu zenu wanaouza nyumba kwa ajil ya forex hawatofanikiwa asilani, forex inataka heshima na skills

Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mtumiaji wa madawa ya kulevya na hasiye tumia nani huwa ana uchungu na mwenzake ?
 
Nilikuza $40 mpaka ikakaribia 500, stop loss ikatembea na mzigo wote siku ya news CAD baada ya hapo kila nikijipanga wanaondoka na mzigo mazima, nikasema nitakuja kulaza njaa watoto!
wakati wa fundamental unakuaje na open possition ilihali hujui fundamental inaendaje!? ile ina utaalamu wake hasa zile NFP na interest rate decsn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom