Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ontario KichwaMwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Hakuna cha Bora kote ni shida tu sema kubet kuna siku unajifariji kidogo Kwa kula lkn ukibalance mahesabu unakuta we umetoa zaidi kuliko kupokea.Halafu kwenye kubet unaweza tumia hela kidogo sio lazima yawe madolaBora Kubeti
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muwe mnatoa mrejesho mmeingiza shilingi ngapi na mmeliwa shilingi ngapi? Hivi ukila unakula hela ya nani na ukiliwa hela yako inaenda wapi?
Kubet hata kilaza anabet na anakula,so kubet ni rahisi zaidi.Sema Kubet pia hakutaki kabisa tamaa.Ukiwa na tamaa hutakaaa ule kwenye kubetForex hawachezi no biashara inayohitaji usome zaid ya chuo kikuu narudia zaid ya masters hyo hats professor na pro yake hawez kufanya forex sio kitoto alfu forex ni rahis sana kupiga pesa kuliko hzo bet zenu ila shida ni moja tu usiwe mroho narudia uroho was kutaka upte kibubwa wakat mtaji wako mdogo ndo tatzo LA wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtego huuMbona humu tunaoneshwa screenshot za watu wanakula $$$ tu?!
Kwenye forex ukila unakula hela ya nani na ukiiunguza account (kuliwa) hela inaenda Kwa nani?Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.
Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.
Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.
Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.
Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.
Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.
View attachment 982938
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukila Huwa unakula hela ya nani na ukiliwa hela yako inaenda wapi?Kweli kila mtu na mawazo yake mimi ukiniambia niache forex ni sawa na kuninyonga tena kwa mateso makali pamoja na changamoto zote lakini sa hv inanuchukua hadi nafikisha miezi mitatu sijaenda bank kuchukua mshahara nina balance ya $2000 na taget yangu ni 5% kwa siku hebu niambie napata sh ngap kwa mwezi maisha ni raha sana aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI HUWA FANANISHA WAFUASI WA FOREX NI KAMA WAFUASI WA MAKAMPUNI YA FOREVER, GNLD & WAFUGAJI WA KWARE ENZI ZILEForex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukiona kimya tujue tayari wameshakula kichwaKwa sasa ni siri ya kambi ila nasubiri kuja kuonesha account ikiwa na 6 to 7 digit...
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh gasho ndio pesa inakuja kwenye silver plate? Daah kazi ya kusokomezwa dude ambalo hata wewe unalo ni nyepesi kihivyo? Bro unatia wasiwasiMjini chuo kikuu. Usikae kizembe. Hakuna pesa inakuja on a silver plate just like that labda uwe gasho.
Hujapigwa BanMwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Mkuu hzi likes zmekuboost kinyamaππππππMwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Hasiye ndo nn? Mliokimbia shule mapema hii biashara hamtoiwezaKati ya mtumiaji wa madawa ya kulevya na hasiye tumia nani huwa ana uchungu na mwenzake ?
We mbna umekomalia probability? Sijaariwa na mtu ila maisha yangu yote yamerely kwenye forex.Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
Ha ha ha haaaaaaaaa.....ila wewe, unanivunja mbavu sana...ww si ndo ulikuwa unakimbizana daily kwa ontario kwenye ule mgorofa huku ukiwa umebebelea Toshiba yako..Duh jamaanSana
Nilikua na kundi moja
Nikipoteza wananipa moyo tunajazana ujinga
Kesho unavunja kibubu unadeposit tena
Kwani unateseka?..Mnazidiwa na betting kwa probability kuwa chache
Tangu nimeanza forex sijawahi kuuza chochote.... Af sinaga mentality ya kuuza assets nikiwa na shida...Naona kila mtu ndugu yake kauza kitu....