Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia

Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu

Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Ontario Kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex hawachezi no biashara inayohitaji usome zaid ya chuo kikuu narudia zaid ya masters hyo hats professor na pro yake hawez kufanya forex sio kitoto alfu forex ni rahis sana kupiga pesa kuliko hzo bet zenu ila shida ni moja tu usiwe mroho narudia uroho was kutaka upte kibubwa wakat mtaji wako mdogo ndo tatzo LA wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubet hata kilaza anabet na anakula,so kubet ni rahisi zaidi.Sema Kubet pia hakutaki kabisa tamaa.Ukiwa na tamaa hutakaaa ule kwenye kubet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kufuatilia mambo ya KAMARI

sent from this unknown device
 
Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.

Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.

Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.

Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.

Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.

Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.

View attachment 982938

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye forex ukila unakula hela ya nani na ukiiunguza account (kuliwa) hela inaenda Kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kila mtu na mawazo yake mimi ukiniambia niache forex ni sawa na kuninyonga tena kwa mateso makali pamoja na changamoto zote lakini sa hv inanuchukua hadi nafikisha miezi mitatu sijaenda bank kuchukua mshahara nina balance ya $2000 na taget yangu ni 5% kwa siku hebu niambie napata sh ngap kwa mwezi maisha ni raha sana aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukila Huwa unakula hela ya nani na ukiliwa hela yako inaenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia

Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu

Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
Hujapigwa Ban
 
Mkuu hzi likes zmekuboost kinyama🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Ni probability!
Sasa haihusiani vipi na elimu zingine?
Unataka kutuambia Forex inamiliki ubahatishshaji kwa jia ya kuotea (yakijitokeza mawingu kidogo mnakimbilia kubashiri mvua kubwa itanyesha), kwa mshangao wenu upepo unayapeperusha mawingu mnajikuta mmeunguza account.
Ni kubashiri tu kama ilivyo kuitabiria kisha kuibashiria Liverpool tu!!
We mbna umekomalia probability? Sijaariwa na mtu ila maisha yangu yote yamerely kwenye forex.

Kacheze kamari uendeshe maisha yako kama una jeuri hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuatana na uelewa wa wa Tanzania wengi kuwa chini,forex lazima iwanyoe,forex inahitaji akili,muda,na focus,mtz anapenda mteremko hana mda wa kusoma na kuelewa.

Cha kushauri forex ifanywe na watu wenye uelewa nayo, wasio na uelewa ni vzr kukaa pembeni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana
Nilikua na kundi moja
Nikipoteza wananipa moyo tunajazana ujinga
Kesho unavunja kibubu unadeposit tena
Ha ha ha haaaaaaaaa.....ila wewe, unanivunja mbavu sana...ww si ndo ulikuwa unakimbizana daily kwa ontario kwenye ule mgorofa huku ukiwa umebebelea Toshiba yako..Duh jamaan
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom