Ha ha haaaaa....haaa kwamba ukiwa umekula unamla nan na ukiliwa unaliwa na nani..duuuh ya ulimwengu makubwaHa ha ha pole sana. Hukuwa na hawa magwiji wa JF ambao wao kila siku wanavuna pesa? Hivi ukila hela unamla nani na ukiliwa nani anakula hela yako?
Nipo humo kitamboMkuu jiunge hyo lnk ya telrgram vitabu vyote vya forex vipo humor
Traders Library
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuuza vitu ni tabia ya mtu tu.Tangu nimeanza forex sijawahi kuuza chochote.... Af sinaga mentality ya kuuza assets nikiwa na shida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi itakusaidia kujua pumba na mcheleSikuzote uwa nahakikisha siluki kusoma comment, ngoje nivute na kigoda kabisa.[emoji855] [emoji855] [emoji855]
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Yaani mkuu moja charts ambazo nikiamshwa usingizini najua ni pair gani basi ni hii CHFJPY D1 timeframeMBONA MAMBO YANA ELEWEKA TU. NI EITHER USOME KWA BIDII AU UPATE RAFIKI MZURI WA KUKUPUSHI.
View attachment 983331
Mkuu tickmill unatumia njia gani kudeposit na kuwithdraw, maana bila kuwa na 3D secured card hakubaliKuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.
NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief agent wa forex ndo mtu gani?Broo
wewe ni chief agent wa forex hapa Jf ? Napenda sana spirit yako katika kuitetea hii career ya foreign exchange business.
Madawa ya kulevya ni biashara legal?Kati ya mtumiaji wa madawa ya kulevya na hasiye tumia nani huwa ana uchungu na mwenzake ?
Kuna usemi mmoja wa huyu jamaa huwa unachekesha sana anasemaga '''nywee nywee nyeeee you will die poor'''mi ninachowashauri wale wasioamnin fx tumia istagram yako kufolow matraders hasa wa south na kwingineko @ forexbrokerkiler n k muwe inspired
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina sababu ya kuanika maisha yangu hapa ila sijaajiriwa na mtu na ninayamudu mahitaji yangu yote.Muwe mnatoa mrejesho mmeingiza shilingi ngapi na mmeliwa shilingi ngapi? Hivi ukila unakula hela ya nani na ukiliwa hela yako inaenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nichangie kidogo hapa ukila unakula hela ya aliyeliwa huko na ukiliwa hela yako inaenda kwa aliyekula huko inamaana kama unaloose huku kuna mtu pembeni anaprofit na kama ukiwa na profit ujue kuna mtu huko kalooseUkila Huwa unakula hela ya nani na ukiliwa hela yako inaenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
ONTARIO kasanda jaribu na weweKuna usemi mmoja wa huyu jamaa huwa unachekesha sana anasemaga '''nywee nywee nyeeee you will die poor'''
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuacha tu uamini hivo.... ningekuwa nmekatwa kichwa ningekuwa nimeshaanza kuuza kitu kimoja kimoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukiona kimya tujue tayari wameshakula kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana njia nyingi tu kama skrill na netellerMkuu tickmill unatumia njia gani kudeposit na kuwithdraw, maana bila kuwa na 3D secured card hakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa ni kama madalaliNina jamaa yangu alikuwa ananihamasisha sana kujiunga na BIC.
Nikasafiri mkoa kwenda kunielekeza na kunifundisha akaniambia kazi yangu ni kukaa na kuvuna faida.sasa hivi kawa msiri sana na wala hanipigii kunishawishi kujiunga au kutuma screen short ya kuvuna pesa.
Badilisha Mentor uliyenaye, hakusaidii.wakati wa fundamental unakuaje na open possition ilihali hujui fundamental inaendaje!? ile ina utaalamu wake hasa zile NFP na interest rate decsn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kufanya Forex..Lakini nachokijua Forex ni real deal kwa baadhi ya watu walio na maarifa thabiti kuhusu hii biashara.Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.
Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.
Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.
Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.
Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.
Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.
View attachment 982938
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we una hela sijakataa,na siwezi kulingana na wewe.Ila umesema mwenyewe kuna siku utatoa mrejesho,ndio nikakukumbusha kuwa tukiona kimya tujue tayariNakuacha tu uamini hivo.... ningekuwa nmekatwa kichwa ningekuwa nimeshaanza kuuza kitu kimoja kimoja.
Kwanza nina uhakika thamani tu ya simu yangu ni hela ambayo unaisotea kwa miezi kama siyo mwaka unaisha haujaishika kwa mara moja...
Sent using Jamii Forums mobile app