Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha pole sana. Hukuwa na hawa magwiji wa JF ambao wao kila siku wanavuna pesa? Hivi ukila hela unamla nani na ukiliwa nani anakula hela yako?
Ha ha haaaaa....haaa kwamba ukiwa umekula unamla nan na ukiliwa unaliwa na nani..duuuh ya ulimwengu makubwa
 
Kuna mtu Jana nilimuomba aweke taarifa au Salio lake la bank na Mimi niweke Salio la account yangu ya Tickmil, aliishia kuniita matusi ya kila namna.


NB. Si kwamba Mimi ni tajiri hapana. Ila Forex inanipa Pesa ambayo naamini kuna watu wanatuita wajinga hawawezi kuipata mpaka watakapopewa Pesa za pensheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tickmill unatumia njia gani kudeposit na kuwithdraw, maana bila kuwa na 3D secured card hakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tukiona kimya tujue tayari wameshakula kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuacha tu uamini hivo.... ningekuwa nmekatwa kichwa ningekuwa nimeshaanza kuuza kitu kimoja kimoja.

Kwanza nina uhakika thamani tu ya simu yangu ni hela ambayo unaisotea kwa miezi kama siyo mwaka unaisha haujaishika kwa mara moja...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina jamaa yangu alikuwa ananihamasisha sana kujiunga na BIC.

Nikasafiri mkoa kwenda kunielekeza na kunifundisha akaniambia kazi yangu ni kukaa na kuvuna faida.sasa hivi kawa msiri sana na wala hanipigii kunishawishi kujiunga au kutuma screen short ya kuvuna pesa.
Hawa jamaa ni kama madalali
wao wanaingiza kupitia mafala wanaowaokota ndomana nlipogusa maslahi yao wameniblast huko juu 😀😀😀😀😀
nasisitiza HISIA NI AKILI
endeleeni kuwaokota.
 
Kabla ya kufanya biashara ya Forex huu ujumbe unapatikana kwa kila broker awapatie trader wake.. Sasa sijui kama nyie huwa mnaelewa kinachoandikwa hapo.


Yaani mtu mzima unafananisha Ujinga ujinga na upuuzi wa Qnet na Forex ?? Biashara ambayo ni halali kwenye nchi ya dunia za kwanza miaka na miaka. Hiyo Qnet ni pyramid scheme bussines ambayo katika nchi kama marekani ni kosa la jinai kufanya Ponzi bussines na ukikamatwa ni kifungo.



Ninachojifunza hapa, watanzania ni wavivu wa kutafuta maarifa kabisa. Hufanya maamuzi kwa kusikia watu wanasema nini. Mtu akisikia Deci anaenda. Akisikia D9 anaenda . Akisikia Forex anaenda ila hana sababu zake za kiutafiti kwanini kafanya hayo maamuzi.


Amini nakwambia ukifanya utafiti wako kuhusu biashara ya forex bila kuwa bias utakuja kunitafuta siku moja. Kama una king'amuzi cha Dstv weka channel namba 411 (Bloomberg Tv) naamini utaelewa Forex ni nini.




Sasa Kama MTU anasema forex ni utapeli hivi ukisikia biashara ya stocks, commodities, indices na shares si ndio mtasema ni ujambazi. Hebu nikusaidie tafuta gazeti la either The citizen au Daily News nenda kwenye ukurasa wa bussines utakuta FOREX,INDICES,SHARES & commodities zinachambuliwa vyema kabisa.

Maarifa Maarifa Maarifa .... Tafuteni maarifa. Inauma sana mwaka 2019 bado kuna kiumbe duniani anasema FINANCIAL MARKETS ni utapeli . Bado kuna mtu anashidwa tofautisha Marketing Network na Financial Markets.




View attachment 982938

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kufanya Forex..Lakini nachokijua Forex ni real deal kwa baadhi ya watu walio na maarifa thabiti kuhusu hii biashara.

Lakini watanzania kama kawaida yetu tunapenda kudandia dandia tu vitu bila kuvijua kiundani.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuacha tu uamini hivo.... ningekuwa nmekatwa kichwa ningekuwa nimeshaanza kuuza kitu kimoja kimoja.

Kwanza nina uhakika thamani tu ya simu yangu ni hela ambayo unaisotea kwa miezi kama siyo mwaka unaisha haujaishika kwa mara moja...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we una hela sijakataa,na siwezi kulingana na wewe.Ila umesema mwenyewe kuna siku utatoa mrejesho,ndio nikakukumbusha kuwa tukiona kimya tujue tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom