Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi ndio nimekuelewa boss shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivo ila kam ukiangalia tu urefu wa candlesticks unaweza kusema eurgbp inakimbia.... Ila kuna pairs kama GBPNZD vicandlesticks vyake vidogodogo...

Ila ndo pair inaongoza kwa kutembea pips nyingi...

Pairs ambazo GBP ni base currency zinatembea sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tu niseme nna experience mbaya na EG
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ambao mnafund hela skrill kwa mastercard, kuna changamoto ambapo hela huwa inakataa kwenda kwa broker.

So kitu unachoweza kufanya ni kuzihamishia Kwenye account ya neteller then ndiyo ufund

I have tested it yesterday

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha haaaaa....haaa kwamba ukiwa umekula unamla nan na ukiliwa unaliwa na nani..duuuh ya ulimwengu makubwa
Hili swala la kuliwa na kula hakuna hata mmoja anayelijibu. Sijui wanakwama wapi
 
Kwa maelezo hayo fx ni sawa tu na gambling ?
 
unijulishe akitaka kuuza hilo friji huyo fala.sijui ulevi wa kamali kijinga namna hii unatokaga wapi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…