Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.

Mkuu urafiki ni kumzuia asidondoke na sio kusubiri aanguke umuokote. endelea kumshauri
 
Endeleeni kupiga mboyoyo.
IMG-20190102-WA0018.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hivo ila kam ukiangalia tu urefu wa candlesticks unaweza kusema eurgbp inakimbia.... Ila kuna pairs kama GBPNZD vicandlesticks vyake vidogodogo...

Ila ndo pair inaongoza kwa kutembea pips nyingi...

Pairs ambazo GBP ni base currency zinatembea sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Au gusa usdtry utaleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wenye moyo huo labda wachache mkuu. Unamwambia mtu akufundishe hiyo kitu ila kwa muda huo huna kiasi hiko chote kwa ajili ya mentorship, lakini anakutolea nje. Na huyo mtu daily unakuta post za screenshots za dollars. Binafsi naona hatuna nia ya kusaidiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mkuu watu wana mirohoo meusii balaa.. wabongo tumezidi kubaniana .!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kutufundisha tu wenzenu tuanze kupiga Pesa kama nyie mnataka Lakiii...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa unataka ufundishwe bure kabisa? Sehemu anayokufundishia analipia, muda ule anaokuandalia materials na kukufundisha angeweza kuwa anatrade au anafanya mambo mengine halafu mtu ukilipia ndio unaonekana how serious you are. Mimi watu walishanifuata niwafundishe japo sio mtaalam kiivyo walau vitu vidogo vidogo naweza kumuelekeza mtu, unaenda nae wee baadae anaanza kuleta stori nyingine za kipumb.avu unafikiria muda ule wote uliopoteza si bora ungelala tu au ungezama library kuongeza maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimeiangalia mida ya saa nane nikaona ilichofanya nikabaki tu kuumia. Anyways the market is full of opportunities ukikosa leo unasubiria kesho
Nyosha mkono juu Kama ulienda na Mimi kwenye eurusd na eurgbp... Asubuhi nilisema nitazisell siku nzima ukaogopa movement... Cheki eurusd ilivyoshuka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sasa unataka ufundishwe bure kabisa? Sehemu anayokufundishia analipia, muda ule anaokuandalia materials na kukufundisha angeweza kuwa anatrade au anafanya mambo mengine halafu mtu ukilipia ndio unaonekana how serious you are. Mimi watu walishanifuata niwafundishe japo sio mtaalam kiivyo walau vitu vidogo vidogo naweza kumuelekeza mtu, unaenda nae wee baadae anaanza kuleta stori nyingine za kipumb.avu unafikiria muda ule wote uliopoteza si bora ungelala tu au ungezama library kuongeza maarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee haya mkuu ila me nilikuwa na nia ya dhati kabisa kujuaa lakini nlipoona kujifunza tu mpaka nilipiee Lakii...mtu mwenyewe simjui vizuri nikaona kila dalili ya kupigwaa...nkaogopa kuwa fursa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom