Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa

Fx_Money Makers
Kutajirishwa kwa muda mfupi aiseeeee....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa

Fx_Money Makers
Hawa ndio huwa nawaita matapeli wa Forex. Huwezi tajirika kwa muda mfupi kwenye forex. Forex sio get rich scheme.


Nyie ndio mnaminya na kuwazuia vijana kuijua forex vizuri. Badirikeni. Sisi wenyewe kuna muda unachezea za USO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ungependa kuifahamu na kujifunza kuhusiana na forex trading biashara ambayo inaweza kukutajirisha kwa muda mfupi [emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]

Jiunge sasa na group hili la whatsapp uweze kupata msaada kuhusiana na forex.. Ni bureeee kabisaa

Fx_Money Makers
Mkuu acheni utapeli asee ninyi ndo mnasababisha Fx ionekane kama uganga kutoka Sumbawanga, Fx haina garantii kumletea mtu utajiri namna hiyo.
Huijui hii biashara na siku ukiifahamu hutaandika tena huu upupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na warning zote kuhusu forex bado watu wanaingia kichwa kichwa, jamani forex sio njia ya kujipatia mahela, inahitaji mtu uwe na taarifa na elimu kuhusu fedha na mwendo wa soko dunia nzima, uwe mfuatiliaji wa taarifa usome, ufuatilie vizuri sio unaingia tu kwenye trade kwa kuangalia chart pekeake, chart inaweza kushuka au kupanda dk 0 ijayo kutokana na market duniani huko inavyobadilika so kila mtu analalamika forex imenimalizia hela kwasabab una akili ya kumeki pesa thru forex ni ujinga, fuatilia market news, na ujue kiingereza vizuri kweli uwe mfuatiliaji, lasivyo kila siku mtaunguza vipesa vyenu, forex ni trade inayoaffect dunia nzima sio kwako tu so dolar ikishuka inashuka dunia nzima so be careful, and usitumie pesa usizoweza kumudu kupoteza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa
Yaani Watanzania wanashangazaa, mtu kasoma kabisaaaaaaaaaaa IFM mambo ya finance halafu mambo ya Forex anasema ni utapeli, jitu linafanya kazi benki miaka kumi na tano experience na lina CPA lakini linakuambia Forex ni utapeli yaani unaweza ukalizabua makofi kwa hasira aseee basi tuu. Majitu yapo mjini lakini utadhani yanaishi kijijini kwa jinsi yalivyozubaa. Tuko ktk information age mtu akikuambia kitu cha manufaa kwa nini usiingie ktk the biggest library google uujue ukweli? Daaah Waafrika!!!!!!!!

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Thats right [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimesoma snaa ilaa Sijaelewa kitu Kimoja tu...

WAKATI GANI NIFANYE SELL NA WAKATI GANI NIFANYE BUY... NAMNA YA KUWEKA PESA HUKOO PIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mpaka hapa inabidi tu uendelee kusoma, ila km unasoma peke yake tu bila kupractise kwenye demo itakuwa kazi bure...

Simply buy when price is low and sell when price is high...

Sasa hapo ndo inatakiwa ujue high ni ipi na low ni ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forex ni kama ulokole tu.
Mniwie radhi walokole wote humu sina maana ya kuwakashifu.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Sizungumzii forex bali hilo jina au neno "walokole au ulokole". Neno hilo halina maana wala uhusiano na sisi TULIOMKIRI NA KUMPOKEA YESU KRISTO ALIYE HAI KAMA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU. Hilo ni jina au neno analotumia Shetani na mawakala wake kutaka kuudharirisha WOKOVU WETU. Na kwa kweli kwa kiasi fulani kafikia lengo lake ingawa hatafanikiwa milele. Sisi SIO WALOKOLE bali SISI NI WANA WA MUNGU TULIOPOKEA NEEMA YA WOKOVU, NI WATU TULIO OKOKA.
 
Pole zake. Mkuu huyo jamaa yako alianza lini hiyo kamari? Mshauri aache hiyo kitu itamfilisi!
Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,

Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,

Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,

Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,

Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,

Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom