Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Mkuu Daud1990 kama hutojali naomba msaada namna ya kudeposit pesa Tickmill au FXTM.Nataka kumkimbia templer kwenye deposit za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha hio nukuu ya mwisho hata mm mpaka leo naikumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha utapeli, waambie watanzania ukweli,..s.h.w.a.i.n eti nimeingiza sh ngapi??!!mipichapicha yako hainitishi hapa, watumie familia yako,mimi inaninufaishaje?, kha!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unatumia nguvu kitu ambacho hujawah kufanya wala kukifanyia research unababwaja tu bila sababu sio kila kitu lazima ufanye vingine viko nje ya uwezo wako kaa navyo mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Daaah
 
Tupe maarifa sisi mkuu,achana na hao watu watakupotezea mda,naomba msaada wa namna naweza kudeposit kwa Tickmill au FXTM mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Nimkupata.
Kusema Kweli sijawahi kuwatumia hao brokers. Mimi natumia exness na TempleR.


Ila naamini Tickmil anafanya depost kwa Tigopesa. Unaweza ulizia.

Hapa nimekuwekea link ambayo unaweza ona njia za deposit nA withdraw kwa Tickmil.

Deposits and Withdrawals | Forex Trading | Forex Funding Options | Tickmill


Sina cha kusema kwa Fxtm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu,exness yeye anatumia njia gani kuweka?na je exness ni broker mzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu,exness yeye anatumia njia gani kuweka?na je exness ni broker mzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia njia hizo hizo za Tickmil isipokuwa hana Mobile Money service kama Tigo na M-Pesa.


Exness ndio broker anaeongoza kwa kuwa na Currency pair nyingi duniani. Lakini pia unaweza iweka account yako iwe ya currency nyingine tofauti na major currency za GBP, USD au EURO.


Yaani account yako unaweza iweka iwe na hela za Nigeria Rand, Au Kuwait Dinner N.K.. Tofauti na Brokers wengine wanaruhusu zile Currency kubwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijiunge nae huyu mkuu,then nitarudi kwako unipe mwongozo zaidi ya namna ya kudeposit na kuwithdrawal.Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah. Huwa najiuliza watu wa forex wanasifia kila siku. Aje mtu hapa atuambie tangu yupo ktk forex amepata nini?kuna watu duniani kama 50 cent walikua na bitcoin na wana mali nyingi hao wanaweza kukushawishi.
Kifupi watu wa forex aje mtu atuambie ana nn i.e mali,pesa n.k alizopata ktk forex .tofauti na hapo kwa upande wangu naona ni hadithi za kusadikika.
 
akikwambia itakusaidia nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jibu lao hua simple tu"forex isn't for everyone",hahah.

Ogoba utajiri ambao hata bank haitaki uujue,hahah.
 
Hapo ni sawa na baba yako anakwambia mwanangu mm nimesoma sana .halafu mnaishi nyumba ya kupanga. Mdingi hata pikipiki hana.maisha hovyo. Halafu ukiangalia mienendo yake sio. Toa mifano sio porojo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…