Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Daud1990 kama hutojali naomba msaada namna ya kudeposit pesa Tickmill au FXTM.Nataka kumkimbia templer kwenye deposit za maanaMkuu sio kwamba Nina kiburi. Hapana. Sina kiburi kabisa na wala sijivuni kwa lolote.
Nikwambie tu ninajua vichache sana kwenye forex ndio maana kila siku haipiti kama sijasoma kitu cha forex au kutazama channel ya Blomberg kuongeza maarifa ya financial market.
Kama umekuwa ukifuatilia comments zangu kuhusu forex. Sijawahi hata siku moja kuweka referal link, WhatsApp link au Channel yoyote ya kumvuta MTU ili nimuombe hela. Sijawahi abadani. Huwa najitoa kueleza kile nijuacho ila mwisho wa siku unaitwa tapeli na majina mengine mabaya. Awali nilikuwa nachati na watu PM ila hao hao wanakuja hapa na ngozi nyingine kukuita Tapeli wakati sijawahi kumuomba MTU hata mia.
Ndio maana nikaamua mijadala yote nitakuwa naifanyia hadharani. Kama kuna kitu naomba unitag nitakuja kujibu. Sina uchoyo wa maarifa. Na ninapenda vijana tuwe vizuri.
NB: Naomba uniambie mt4 inakusumbua kwenye nini na nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Circled ni ambayo nimeingia Leo jioni .. Vipi umefurahi mkuu.na Siku Nyingine Ujaribu Kupost Screenshot Za Red Not Alwayz Blue You Are Not That Smart You Want To Show Us Boy
hahaha hio nukuu ya mwisho hata mm mpaka leo naikumbukaMwambie aache upuuz kuna ndugu Yangu alikuja kunambia hii kitu ya forex nikamwambia hii kitu naijua zaman sana kabla yako kuna akili kubwa inaitwa Ontario iliileta jf watu wakapigwa akiwemo mwenye jf mwenyewe bwana mello na akili kubwa mwingine anaitwa ruge naye alipigwa pia
Biashara ni uzalishaji mali na Huduma hizi zingine ni majanga tu
Ontario bhana nukuu yake moja kajamaa kanasema hii biashara ya forex hata bank hawaijui na hawatak kabisa uijue, duh salute sana ontario
USD 60 in LOSS and I'm still holding them ... [emoji1] [emoji1]Circled ni ambayo nimeingia Leo jioni .. Vipi umefurahi mkuu. View attachment 986095
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unatumia nguvu kitu ambacho hujawah kufanya wala kukifanyia research unababwaja tu bila sababu sio kila kitu lazima ufanye vingine viko nje ya uwezo wako kaa navyo mbaliAcha utapeli, waambie watanzania ukweli,..s.h.w.a.i.n eti nimeingiza sh ngapi??!!mipichapicha yako hainitishi hapa, watumie familia yako,mimi inaninufaishaje?, kha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi imejaa misukule... Nchi ina RAIA million 50+ lakini amini nakwambia kati ya idadi hiyo ni raia hawazidi 1000 wenye sifa za kuitwa binadamu. Mingine yote iliyosalia ni Mi swala,Nyumbu na misukule ya kuswagwa na fimbo.
Nchi Bado ina safari ndefu ya kuwageuza hii misukule kuwa binadamu Kamili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe maarifa sisi mkuu,achana na hao watu watakupotezea mda,naomba msaada wa namna naweza kudeposit kwa Tickmill au FXTM mkuuUSD 60 in LOSS and I'm still holding them ... [emoji1] [emoji1]
Vipi mkuu wewe leo umepoteza hata jero hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Nimkupata.Tupe maarifa sisi mkuu,achana na hao watu watakupotezea mda,naomba msaada wa namna naweza kudeposit kwa Tickmill au FXTM mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu,exness yeye anatumia njia gani kuweka?na je exness ni broker mzuri?Mkuu Nimkupata.
Kusema Kweli sijawahi kuwatumia hao brokers. Mimi natumia exness na TempleR.
Ila naamini Tickmil anafanya depost kwa Tigopesa. Unaweza ulizia.
Hapa nimekuwekea link ambayo unaweza ona njia za deposit nA withdraw kwa Tickmil.
Deposits and Withdrawals | Forex Trading | Forex Funding Options | Tickmill
Sina cha kusema kwa Fxtm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatumia njia hizo hizo za Tickmil isipokuwa hana Mobile Money service kama Tigo na M-Pesa.Shukran mkuu,exness yeye anatumia njia gani kuweka?na je exness ni broker mzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijiunge nae huyu mkuu,then nitarudi kwako unipe mwongozo zaidi ya namna ya kudeposit na kuwithdrawal.ShukranAnatumia njia hizo hizo za Tickmil isipokuwa hana Mobile Money service kama Tigo na M-Pesa.
Exness ndio broker anaeongoza kwa kuwa na Currency pair nyingi duniani. Lakini pia unaweza iweka account yako iwe ya currency nyingine tofauti na major currency za GBP, USD au EURO.
Yaani account yako unaweza iweka iwe na hela za Nigeria Rand, Au Kuwait Dinner N.K.. Tofauti na Brokers wengine wanaruhusu zile Currency kubwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko very supportive kwenye customer care hana shida.Ngoja nijiunge nae huyu mkuu,then nitarudi kwako unipe mwongozo zaidi ya namna ya kudeposit na kuwithdrawal.Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana mkuuYuko very supportive kwenye customer care hana shida.
Best of Lucky.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mjomba amewakana hadharaniiii wazee wa ku-download ma usd.Afute acc kisa amewakana ?
Nyie komaaeni tu na trade yenu.
akikwambia itakusaidia nnDah. Huwa najiuliza watu wa forex wanasifia kila siku. Aje mtu hapa atuambie tangu yupo ktk forex amepata nini?kuna watu duniani kama 50 cent walikua na bitcoin na wana mali nyingi hao wanaweza kukushawishi.
Kifupi watu wa forex aje mtu atuambie ana nn i.e mali,pesa n.k alizopata ktk forex .tofauti na hapo kwa upande wangu naona ni hadithi za kusadikika.
Mkuu jibu lao hua simple tu"forex isn't for everyone",hahah.Dah. Huwa najiuliza watu wa forex wanasifia kila siku. Aje mtu hapa atuambie tangu yupo ktk forex amepata nini?kuna watu duniani kama 50 cent walikua na bitcoin na wana mali nyingi hao wanaweza kukushawishi.
Kifupi watu wa forex aje mtu atuambie ana nn i.e mali,pesa n.k alizopata ktk forex .tofauti na hapo kwa upande wangu naona ni hadithi za kusadikika.
Mkuu jibu lao hua simple tu"forex isn't for everyone",hahah.
Ogoba utajiri ambao hata bank haitaki uujue,hahah.