Kizungu mbofu mbofuanacheza forex ndo maana anafeli si tunaofanya in serious mbona tunafanikiwa forex unaweza poteza kiasi chochote kile cha pesa hata bilion inapotea kama hauna maarifa nayo na unaifanya kama kamali
i'am consistency forex trader 1year expirienc in live trading nimepoteza za kutosha nkmepata za kutosha ila ilikua kama sehemu ya kutafuta maarifa na nimeyapata bila mentor
now sina ulafi wa hela sina haraka ya pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hukuchelewa hali iko hivi mkuu ,
Yean niliingilia hapohapo nimeshatokaKama hukuchelewa hali iko hivi mkuu ,
Sema soko linafungwa... [emoji1] View attachment 986279
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1]Mkuu unapata tabu tupu..ukitaka kujua uhalisia wa mtu usipate tabu jaribu kurudi nyuma kwenye nyuzi zake.
Huyo dogo anaekulisha vitango pori hapa kuna uzi analalamika hana ajira..baadae kuna uzi mwingine anasema anauza kuku..
Jana akanipostia vile vi random internet pictures za dolla akisema zake..nilivoinua nyuzi zake za nyuma akakimbia mazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga kazi mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Forex ukiijua raha sana nimeweka $61 alhamisi saa 9 alasiri hadi ijumaa uck nimefikisha $115 yaan faida ya $54 alfu mtu anatoka alikotoka anasema forex uwizi kwa akili yenu vyuma vitabana sana $54 ni sawa 125,000/= hapo nimekaa na Moshe zingine zinaenda View attachment 986364
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho hapo....
[emoji1]Mzee kuijua tu fx ni shughuli zaidi ya degree hvyo tusiwabeze wasio jua maana sio kila mtu lazima ajue wengine wabaki watazamaji
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhWe mkaka ulimaliza tabora boys mwaka gani. sorry.
kuna kitu nataka unisaidie.
Ni trader mzuri tu.
Ni trader mzuri tu.
Naona mnahangaika sana hapa na watu wasiojua hizi habari, wakati hawawezi kuwaelewa.
Kuna technique inaitwa Dual Time Frame momentum, itafute hio ukiielewa ukachanganya na hii ya Quarters theory hutajuta
Ngoja nikuwekee hapa.