T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Kizungu mbofu mbofuanacheza forex ndo maana anafeli si tunaofanya in serious mbona tunafanikiwa forex unaweza poteza kiasi chochote kile cha pesa hata bilion inapotea kama hauna maarifa nayo na unaifanya kama kamali
i'am consistency forex trader 1year expirienc in live trading nimepoteza za kutosha nkmepata za kutosha ila ilikua kama sehemu ya kutafuta maarifa na nimeyapata bila mentor
now sina ulafi wa hela sina haraka ya pesa
Sent using Jamii Forums mobile app